Wakuu kwema?
Nina dogo hapa anataka kusoma kozi zinazohusiana na Biashara, kwahivyo ninahitaji ushauri kwa mawili!
1. Nataka mumshauri dogo kozi nzuri ya biashara ya kusomea!
2. Chuo Kizuri kwa Kozi tajwa ya Biashara kwa South Africa!
Natanguliza Shukrani!