chuo

  1. Chuo kikuu cha mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti.Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke.

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  2. Somo la historia ulilosoma miaka ya nyuma, ukiwa shule ya msingi mpaka sekondari na wengine mpaka chuo; limekusaidiaje katika kujikimu kimaisha?

    Ukitumia somo la historia, kama somo la kukupa mbinu za kupambana kimaisha, linaweza kukusaidia. Ebu fikiria ukoloni ulivyoingia Afrika, kwa kutumwa wajumbe mbalimbali kuja kufanya utafiti na kuangalia namna ya kututawala pamoja na kumiliki mali zetu. Na wengine kuuzwa kama mifugo ili kwenda...
  3. Mimi nilimaliza chuo na miaka 33 kipata ajira na miaka 34 nikaoa na miaka 35

    Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34. Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira...
  4. Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

    Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi . Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD . Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua . Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
  5. Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano ya Palestina

    Wanaukumbi. ⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu" Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa yakitetea Wapalestina na Wazayuni wakidai kuwa maandamano haya ni "chukizo". Swali hapa ni: Je, ana...
  6. Chuo cha Ualimu Dakawa toeni hela ya BTP

    Tunaomba mtupe hela ya kujikimu. Tunakufa njaa.
  7. T

    Pre GE2025 Heche asema CHADEMA wana mpango wa kujenga chuo cha siasa

    Heche amesema wana mpango wa kujenga miundombinu mbalimbali katika eneo lenye hekari 130 karibia na Kibaha. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni kumbi na vyuo. "Tunataka watu wetu tuwa train pale kuhusu politics, policies za chama chetu, mabadiliko N.k" John Heche Kupata taarifa na matukio ya...
  8. M

    Chuo Kikuu cha Iringa hivi imekuwaje Mwenyekiti wa Baraza amerejeshwa kibaruani kimyakimya?

    Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake. Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile...
  9. UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

    TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400...
  10. D

    Alisimama masomo kwa muda na sasa anahitaji kurejea tena chuo, lakini account yake ya chuo haifunguki

    Jamani Nina mdogo angu alikuwa anasoma pale UDSM mwaka 2023/2024 alikuwa 2nd year,alipat changamoto ikamtoa mchezoni akaondoka chuo bila taarifa, Ili akatatue changamoto bahati nzuri/mbaya mtoto aliezaliwa na binti sio wake. Anahitaji arudi tena masomoni na aris3 account yake haifunguki je...
  11. K

    Kwa ufaulu huu nataka aende chuo, je akasomee course gani?

    Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda Natamani asome Cyber security Computer engineering science IT and accountancy Micro biology Naomba ushauri wako Benson Civic C history C...
  12. N

    Chuo kikuu Cha mtakatifu Joseph Cha mjini songea ni kama mshumaa uliozima ghafla.

    Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha...
  13. AIBU CHUO KIKUU DAR ES SALAAM KUAJIRI WAHITIMU KISIWALIPE NA KUTOWAPA MIKATABA YA KAZI

    Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
  14. Wadau wenye uzoefu na maduka na hizi stores za kawaida hivi hawaitaji mtu anaeweza kua anafanya stock taking

    Ni muda sana sijaandika uzi, wakuu kwanza habarini, Aseh mimi ni muhitimu wa chuo cha fedha hapa Tanzania, nimesoma masomo ya uhasibu na IT, nImekua nikijihusisha na shughuli za hapa na pale ila Mungu si Athumani napata chochote kitu. Wazo langu bi kufungua consultation firm lakini kwa sasa...
  15. Maisha ya chuo

    Wana Jf Nilijiunga chuo kikuu cha serikali nikitokea kazini. Hii inamaanisha nilikwenda nikiwa mtu mzima umri wa miaka 35. Kwa kuwa nilikuwa mtu mzima nilikutana na watoto wadogo sana na wengine nilifamiana nao. Sikuwa mtu wa kampani. Nilipendelea kukaa peke angu. Wakati wote nimekuwa...
  16. K

    DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu. Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya...
  17. Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU One Man down again Ni denzi kinoma huyu chali ya chuga He rest down because of love MUNGU MWENYEZI awatie nguvu wana familia LONDON BOY
  18. Chuo Kikuu Huria: Matokeo yanatarajiwa kuanza kutoka muda wowote kuanzia leo Januari 27, 2025

    Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa...
  19. W

    Kafaulu freshi form 4 anataka aende kusomea computer, Aende kusomea Taaluma ipi na chuo gani ?

    Nina wadogo zangu baadhi wameamua kwenda kuanza mapema kusomea Taaluma vyuoni. Nikiwa kama mtu mzima ninayezijua changamoto za wahitimu wa sekondari kupata wakati mgumu kuchagua taaluma ya kusomea nimeona nifanye extra research wasikurupuke kusomea vitu watavyojutia baada ya kuhitimu. Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…