chuo

  1. Waandamanaji wanaoiunga mkono Hamas wateka jengo chuo kikuu cha Columbia

    Katika hali inayoonekana kuongezeka kwa maandamano ya kuiunga mkono Hamas na kuilaani Israel huko chuo kikuu cha Columbia nchini Marekani,waandamanaji hao wameteka moja ya jengo la chuo kikuu hicho. Utekaji huo ulifanyika muda mfupi kabla ya onyo lililotolewa na kuondoka kwenye mahema...
  2. U

    Mkuu wa tawi la chuo Kikuu cha Al Mustapha , Ali Taghavi awataka waislam kuipenda quraan kwani imetoka kwa Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan akisistiza ni kitabu pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu...
  3. Shinikizo la kuongezewa ada katika chuo cha afya na sayansi Shirikishi Tabora (TCOHAS)

    Wadogo zetu na ndugu zetu wanaosoma Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tabora TCOHAS hususa waliorudia masomo waliyofeli wanapitia changamoto ya ongezeko la Ada, tofauti na kiasi kilichokua kimewekwa mwanzoni. Wakati vyuo vingine vya serikali kama hiki hakuna ongezeko hilo la Ada, jambo ambalo...
  4. A

    KERO Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu

    Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya blocks 6, tatu katika hizo sita ni mbovu kupindukia. Block moja zima unaweza kukuta vyoo(matundu)...
  5. Sioni haja ya kwenda chuo

    Ajira ngumu, Kupoteza muda, Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara. Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo) Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi. Walio na vyeti mtaani hawahesabiki. High school is a necessity, but collage is a...
  6. Chuo Gani Tanzania kinatoa Master degree in electrical engineering by coursework and dissertation

    Jamani nahitaji kujua chuo kilichopo Tanzania kinachotoa master degree in electrical engineering by coursework and dissertation
  7. Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi...
  8. A

    KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages. Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa kuchelewa kidogo na hapo lecturer anamuomba mwanafunzi simu na kuanza kupekua sms, na ikitokea...
  9. Msaada: Chuo gani naweza soma online?

    Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa. Sonko...
  10. Mwenye kufahamu sehemu ambayo kuna chuo ama shule ya atheist (non-believers) anisaidie

    Salamu wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina shida ya kujua mambo ya upande huo. Natanguliza shukrani 🙏🙏
  11. Umemaliza chuo au umeajiriwa fanya biashara zinazohusiana na baadhi ya courses zako ulizosemea chuo

    Kosa moja tunalifanya waajiriwa ni kukurupa kujenga nyumba Kwa mikopo huku nyumba zenyewe hazimaliziki wakati pango la nyumba tu inaweza ikawa million Kwa mwaka na ukaimudu vizuri tu. Sisemi kwamba watu wasijenge ila kuna ushauri mbalimbali humu ndani tumeona bin heri kujipata kwanza kwenye...
  12. USHAURI: Niende Advance au chuo?

    Habari, Nimehitimu mwaka jana nimefaulu masomo yote na pia na division 1 lakini nilikuwa na ndoto za kusomea mambo ya technogy ikiwemo computer science Mpaka sasa nina utata niende Advance au chuoni. Nimejaribu kuchukua ushauri wa watu mbalimbali kuna ambao wananishauri niende chuo nikasome...
  13. Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

    Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara, Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna...
  14. D

    Kwa mara ya kwanza naskia chuo kinachoitwa FETA

    Hivi hiki chuo kinadahili watu wa aina gani na waliofaulu vipi? Au div four wote wanaishi huko?
  15. Kujitegemea maisha kipindi nipo chuo cha afya bila msaada wa wazazi

    Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
  16. M

    Cheti cha Emmanuel Kayumpu kutoka chuo cha Mzumbe kimeokotwa

    Habari za muda wakuu; Kuna Cheti cha huyu mtu kamaliza mzumbe 2018 kimeokotwa ...nashare hapa Kwa anayemfah amfahamishe.
  17. K

    Chuo gani cha Cha community Development kinatoa certificate online?

    Habarini za mchana wadau wa JF, Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online? Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka 2013,lakini mpaka Sasa sijawahi kupata ajira yoyote,kwa hyo nimeona Bora nikasome certificate maana Mimi...
  18. D

    Naomben ushauri natak kwenda chuo na nilikuw natak kusoma mechanical engineering na kama kun cozi nyingin bora ninayowez kujiari mnisaidie

    Kisw B Eng C Geo C Civi C Hist C Bios C Chem C Math D Phys D
  19. Baraza la Madiwani ladai Kifo cha Hayati Magufuli kimekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Chato

    BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na...
  20. B

    Barrick yafungua chuo cha kimataifa barrick academy katika mgodi wa buzwagi uliofungwa

    Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, ameipongeza Kampuni ya Dhahabu ya Barrick ambayo inaendesha shughuli zake nchini kwa ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals, kwa kufanya uwekezaji unaoendelea kuchangia kukuza uchumi na kufanikisha miradi ya kijamii ambayo inaendelea koboresha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…