chupa za plastiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. robbyr

    Ardhi inalia kisa chupa za plastiki

    Picha: My Camera "Hatuna dunia nyingine. Lazima tuitunze na kuihifadhi." – Wangari Maathai Kuna mdau aliandika hapa kuwa mmeamua kupamba jiji la Dar kwa chupa za plastiki. Sasa hii hapa ni Kilimanjaro na ni picha ya eneo moja Kama elimu yaijatukomboa fikra zetu basi hata sheria na kanuni...
  2. B

    Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

    Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa aina ya chupa za plastiki design ninayoitaji mwenyewe?
  3. L

    Soda ya Sprite kutotumia tena chupa za plastiki za kijani ambazo zimetumika kwa miaka zaidi ya 60

    Soda ya Sprite kutotumia tena chupa za plastiki za kijani ambazo zimetumika kwa miaka zaidi ya 60
  4. S

    Hongera Cocacola kwanza wengine wanasubiri nini?

    Nimeliongelea hili swala mara nyingi na sitaacha hadi nitakapoona hatua zimechukuliwa. Chupa za plastic kwa sasa sio tatizo kwani kuna waokota chupa ili ziweze kuwa recycled. Lakini kuna baadhi ya chupa za rangi kama Mo energy, Azam energy, Azam ukwaju na Sprite haziokotwi kwasababu ni haifai...
  5. Red Giant

    Viwanda vinavyouza vinywaji kwenye chupa za plastiki vinatakiwa kuwajibika na uchafu wa chupa hizo

    Baada ya rambo kuondoka mjini, sasa uchafu uliotamalaki ni chupa za plastiki. Za maji, soda, juisi nk. Nilisikia serikali ina mpango wa kuwawajibisha wenye viwanda lakini sijajua ikoje. Uchafu huu umesambaa sana hasa kwa miji midogo ambako hakuna waokota makopo. Itafutwe namna Wazalishaji wa...
  6. S

    Wataalam wa mazingira hili limewashinda?

    Tatizo la takataka za chupa za plastic lilipatikana baada ya kampuni za uzalishaji kuamua ku-recycle hivyo kuwapa "ajira" waokota makopo. Lakini kuna hizi chupa za energy drink. Mo Energy na Azam Energy hizi huwekwa kwenye chupa za plastic za rangi ambazo kamwe sio dili kwa waokota makopo...
  7. M

    Naomba kujua machache kuhusu biashara ya Chupa za Plastiki zilizotumika

    Wadau, ningependa kujua biashara ya kukusanya chupa za plastic zilizotumika kwa kuwa nimeona kuna fursa katika mkoa niliopo. Dar imekuwa dili sana naona watu wanabeba mizigo mikubwa ya machupa lakini huku nilipo chupa zinazagaa hakuna muokotaji. Soko lake likoje? Wanunuzi wake ni akina nani...
Back
Top Bottom