Nimeliongelea hili swala mara nyingi na sitaacha hadi nitakapoona hatua zimechukuliwa.
Chupa za plastic kwa sasa sio tatizo kwani kuna waokota chupa ili ziweze kuwa recycled. Lakini kuna baadhi ya chupa za rangi kama Mo energy, Azam energy, Azam ukwaju na Sprite haziokotwi kwasababu ni haifai...