Hapo zamani za kale, kulikuwa na nchi iliyojaa maziwa na asali, nchi yenye mandhari nzuri na hali ya hewa bora. Katika nchi hiyo, mnyama aliyekuwa akiitawala alikuwa ni Chura, lakini hakuwa chura wa kawaida, bali Chura aliyekuwa Rais wa nchi. Chura huyu alijulikana kwa kuruka ruka nchi...