Maonesho ya uagizaji ya China (CIIE) yamemalizika hivi karibuni mjini Shanghai. Maonesho haya ambayo safari hii ni ya awamu ya saba, yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani nchi nyingi zaidi zimeshiriki na kupiku idadi ya nchi shiriki za mwaka uliopita. Likiwa ni jukwaa la ufunguaji milango na...
Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai.
Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Biashara ya China kwa kushirikiana na Shirika la Biashara Duniani (WTO), ni maonesho makubwa zaidi ya...
Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe.
Maonesho hayo yaliyofanyika huko Shanghai, mashariki mwa China kuanzia Novemba 5 hadi 10, ni moja...
Maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE) yanafanyika mjini Shanghai, na kuzishirikisha nchi za Afrika.
Kwenye maonesho hayo, Tanzania imekuwa mgeni wa heshima kwa mara ya kwanza, huku Benin, Burundi na Madagascar zikishiriki kwa mara ya kwanza katika maonyesho haya ya...
Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika hivi karibuni mjini Shanghai. Ili kutekeleza kihalisi hatua za ushirikiano zilizofikiwa kwenye Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024, eneo maalum la kuonesha bidhaa za...
Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa msamaha wa ushuru wa forodha bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi zilizo nyuma kimaendeleo, zikiwemo nchi 33 za...
Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE).
maparachichi ya Kenya
pilipili ya Rwanda
kahawa ya Ethiopia
asali ya Zambia
divai ya Afrika Kusini
NA PILI MWINYI
Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE, yanayofanyika mjini Shanghai yamepata mafanikio makubwa na kutoa jukwaa muhimu sio tu kwa China kuendelea kufungua milango yake na kukuza ushirikiano wake wa kimataifa na biashara huria, bali pia kwa wafanyabiashara...
Na Caroline Nassoro
Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China (CIIE) yamefunguliwa rasmi Novemba 5, 2021. Ikiwa ni awamu ya nne, Maonyesho haya yameendelea kuandaliwa kwa ufanisi zaidi, kitaalamu zaidi, na pia kwa njia ya kidijitali zaidi.
Maonyesho haya yamevutia washiriki...
Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yameanza mjini Shanghai, China, na nchi kadhaa zinashiriki maonyesho hayo na kutangaza bidhaa maalum za kipekee zinazopatikana katika nchi hizo ili kuweza kuvutia wateja nchini China.
Nchi za Afrika ni miongoni mwa nchi...
Maonyesho ya Nne ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa China (CIIE) yamefunguliwa mjini Shanghai, tayari kwa mikusanyiko ya wanaviwanda, wafanyabiashara na wajasiriamali zaidi ya elfu tatu kutoka nchi 127 duniani. Maonyesho hayo ambayo ni ya nne kufanyika toka yalipoanza kufanyika mwaka 2018, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.