ciie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Tanzania yavuna matunda makubwa kwenye maoensho ya CIIE

    Maonesho ya uagizaji ya China (CIIE) yamemalizika hivi karibuni mjini Shanghai. Maonesho haya ambayo safari hii ni ya awamu ya saba, yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani nchi nyingi zaidi zimeshiriki na kupiku idadi ya nchi shiriki za mwaka uliopita. Likiwa ni jukwaa la ufunguaji milango na...
  2. Wauzaji wa bidhaa wa Rwanda kutafuta fursa kwenye maonyesho ya CIIE mjini Shanghai

    Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai. Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Biashara ya China kwa kushirikiana na Shirika la Biashara Duniani (WTO), ni maonesho makubwa zaidi ya...
  3. Wafanyabiashara wa Zimbabwe watafuta fursa katika maonesho ya CIIE Shanghai

    Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe. Maonesho hayo yaliyofanyika huko Shanghai, mashariki mwa China kuanzia Novemba 5 hadi 10, ni moja...
  4. Kwanini CIIE yanavutia nchi za Afrika

    Maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE) yanafanyika mjini Shanghai, na kuzishirikisha nchi za Afrika. Kwenye maonesho hayo, Tanzania imekuwa mgeni wa heshima kwa mara ya kwanza, huku Benin, Burundi na Madagascar zikishiriki kwa mara ya kwanza katika maonyesho haya ya...
  5. CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kupata umaarufu katika soko la China

    Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika hivi karibuni mjini Shanghai. Ili kutekeleza kihalisi hatua za ushirikiano zilizofikiwa kwenye Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024, eneo maalum la kuonesha bidhaa za...
  6. L

    CIIE kuunga mkono Afrika kuungana zaidi na uchumi wa dunia

    Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa msamaha wa ushuru wa forodha bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi zilizo nyuma kimaendeleo, zikiwemo nchi 33 za...
  7. L

    CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kuingia katika soko kubwa la China

    Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
  8. L

    CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
  9. L

    Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  10. L

    Bidhaa za Afrika zaoneshwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE

    Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE). maparachichi ya Kenya pilipili ya Rwanda kahawa ya Ethiopia asali ya Zambia divai ya Afrika Kusini
  11. L

    Maonesho ya CIIE ya China yatoa jukwaa la mtandaoni kwa Afrika kutangaza bidhaa zake na kujikuza kibiashara

    NA PILI MWINYI Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE, yanayofanyika mjini Shanghai yamepata mafanikio makubwa na kutoa jukwaa muhimu sio tu kwa China kuendelea kufungua milango yake na kukuza ushirikiano wake wa kimataifa na biashara huria, bali pia kwa wafanyabiashara...
  12. L

    Makampuni barani Afrika yatumie CIIE kufungua soko la China kwa ajili ya bidhaa zao

    Na Caroline Nassoro Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China (CIIE) yamefunguliwa rasmi Novemba 5, 2021. Ikiwa ni awamu ya nne, Maonyesho haya yameendelea kuandaliwa kwa ufanisi zaidi, kitaalamu zaidi, na pia kwa njia ya kidijitali zaidi. Maonyesho haya yamevutia washiriki...
  13. L

    CIIE: Fursa nyingine kwa nchi za Afrika kutangaza na kuuza bidhaa zao katika soko la China

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yameanza mjini Shanghai, China, na nchi kadhaa zinashiriki maonyesho hayo na kutangaza bidhaa maalum za kipekee zinazopatikana katika nchi hizo ili kuweza kuvutia wateja nchini China. Nchi za Afrika ni miongoni mwa nchi...
  14. L

    Mambo manne muhimu ya ufunguaji mlango aliyotaja Rais wa China kwenye CIIE yatanufaisha dunia

    Maonyesho ya Nne ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa China (CIIE) yamefunguliwa mjini Shanghai, tayari kwa mikusanyiko ya wanaviwanda, wafanyabiashara na wajasiriamali zaidi ya elfu tatu kutoka nchi 127 duniani. Maonyesho hayo ambayo ni ya nne kufanyika toka yalipoanza kufanyika mwaka 2018, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…