Well, well, well…..kama nilivyotarajia, maandamano ya jana yalibuma.
Hakukuwa na jipya. Kujua kwamba maandamano yangebuma ilikuwa ni sawa na kutabiri kuwa wiki ijayo, kuanzia Jumatatu hadi Jumapili, jua litachomoza walau mara moja kama si zaidi.
Watanzania sisi ni watu waoga sana. Si ajabu ndo...