Habari Wana Jf,
Ni kampuni gani ya kuaminika inayofanya clearing and forward mzigo kutoka china hadi Arusha yenye bei iliyo rafiki?
Naombeni msaada ikiwezekana na office zao zilipo
Tunatafuta Tutor wa kufundisha Kozi za ICT mwenye Uzoefu mkubwa sana kufundisha vyuo vya kati,Tunataka mtu ambaye anajua na practical katika kufundisha kozi hizo za ICT.
Pia tunaitaji Tutor wa kufundish kozi za Clearing and Forwarding, Nursery school teaching, Hotel Management mwenye utaalamu...
Nina uzoefu wa miaka kumi kusimamia Kampuni za clearing and forwarding. Nimebobea kwenye importations, Exportations, Transit pia usimamiaji wa Customs Bonded Warehouse.
Naombeni connections wadau 0753 132 133
Habari
Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi.
Naomba kuwasilisha
Habari Wakuu! Naulizia kuhusu hii certificate ya clearing and forwarding hii ya kupractise ya East Africa inayotolewa na chuo Cha TRA pale Mwenge. Nahitaji kuisoma kozi hiyo Ili niingie kwenye field ya kuagiza bidhaa au mizigo kutoka nje.
Pia mtu aliyesoma hiyo kozi uwanja wake katika Ajira...
Kampuni ya JASMIS INTERNATIONAL LIMITED yenye ofisi zake Mbezi Beach Karibu Na CHEMICOTEX INDUSTRIES inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 14,2023
Kazi : Clearing Agent
Idara: Operational
Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe...
Wakuu poleni na majukumu.
Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania.
Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari...
Habari za wakti huu;
Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu Biashara ya Clearing and Forwaring Agency.Kabla ya kuingia kwenye mjadala niweke wazi kwamba mm sifanyi shughuli za C&F.Hivyo basi maoni na mtazamo wangu upo zaidi kibiashara na kiujumla na ninaamni kwamba wengine watajifunza na wale...
Position: Clearing & Forwarding Officer
Location: Zanzibar
Duties and Responsibilities
Receive inquiries from customers and advise on document requirements for clearing consignments both, imports and exports. Informs / notifies the client of any changes with ZRA/TRA systems and customs...
Ufisadi sasa baaasi!
Vikampuni uchwara vyote violivyokuwa vinachota hela kijanjajanja hapo bandarini sasa tafuteni mashamba mje mlime matikiti..
Mwarabu anakuja kuziba mianya yote ya uhuni, wizi na utapeli hapo bandarini
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
anahitajika
cashier
certificate
chakula
cheti
clearing
elimu
fundi
habari
hii
jamhuri
jina
kazi
kulipwa
mgahawa
mimi
mpishi
mtu
natafuta
natafuta kazi
ndugu
ndugu zangu
siku
tanzania
unatafuta
uzoefu
vitafunwa
wakuu
waungwana
welding
We are Clearing company located at Harbour View Tower 4th Floor, Looking for a volunteers in the following vacancy:
Position: Sales and Marketing Officer
location : Dar es salaam.
Qualification:-
Certificate or Diploma in Sales and Marketing,
Understanding of freelancing and sales activities...
Habari wakuu.
Kuna jamaa yangu amekaa sana nje, shughuli aliyokuwa anafanya huko nje ni ya clearing and forwarding, Ila kutokana na huu ugonjwa shughuli zimepoa sana. Anategemea kurudi nchini hivi karibuni, na kuendelea na clearing and forwarding. Anatafuta kampuni ya kununua isiyokuwa na...
Habari za majukumu wakuu,
Kuna mzigo nataka kuingiza kupitia border ya Namanga, Arusha. Ombi langu ni kwa mtu anayejua kampuni au mtu ambaye ni Clearing and Forwarding Agent anayefanyia kazi pale border anipatie mawasiliano yake.
Nipo mbali na eneo hilo ndio maana nimeomba msaada huo...
S.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyopata leseni na TRA ya kutoa mizigo bandarini, viwanjani na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa mizigo, tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nzuri. Pia tunatoa kamisheni ya mpaka 40% kwa...
Kama kichwa kinavyojieleza. Nimeagiza gari japan, na inatarajiwa kufika tar 7 Nov.
Document zilishafika kama week moja iliyopita nikampa agent kwa ajili ya clearing, aliniambia gharama ni laki 2 tu. Sasa analazimisha nilipe mil moja jumla na gharama zake, na mm nimemwambia siwez kumtumia pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.