clearing

  1. K

    Natafuta kazi katika kampuni ya clearing and forwarding

    M
  2. Nafasi ya Kazi : Declaration Clerk Clearing and Forwading

    Job Position : Declaration Clark in a Clearing and Forwarding Company Location : City Center, Daresaalaam Qualification : Form IV Certificate and Clearing and Forwarding Certificate Gender : Female send CV to email : careers@dnh.co.tz
  3. C

    Msaada kwa mliosoma/mnaosoma clearing and forwading.

    Hello jf. nina imani humu kuna wadau wanasoma au waliwahi kusoma clearing and forwading. naomba msaada wa notes nina shida nazo hasa za First year. Natanguliza shukran
  4. Clearing and forwarding (logistics)

    DN holdings company limited ni logistics company inahusika sana na kutoa shehena za mizigo mbalimbali bandarini kama mawakala wa forodha(clearing and forwading) Dn holdings company limited tunapatikana nkrumaha street p.O.Box 6924 dar es salaam na kamata stesheni ya train. Kwa mawasiliano...
  5. BeFoward ni Clearing agents Tanzania?

    Wakuu naomba kuuliza, nimeagiza gari Japan through BeFoward nilitaka kujua kama wana fanya pia kazi ya kuclear gari inapofika bandarini Dar es Salaam. Huduma zao zikoje na pia bei zao zikoje pia. Asante nawasilisha
  6. Msaada: Ushuru wa Bandari ni kiasi gani?

    Habari, Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam. Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…