Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Dada wa kazi za nyumbani (House Girl), Clemensia Cosmas Mirembe (19) aliyekuwa anatafutwa kwa kosa la kumjeruhi Mtoto wa Boss wake Maliki Hashimu (5) Mkazi wa Goba Jijini Dar es salaam ikidaiwa alimkata na kitu chenye ncha kali shingoni...