I salute you kinsmen.
Mjue mimi kama mchambuzi nguli kabisa hapa JF nimekuwa nikishangazwa na tabia ya ndugu zangu mashabiki wa Simba sc.!
Wao wana tabia za ajabu sana na zinashangaza sana. Leo hii wamejifanya marafiki wa mzize ..!
Sote tunajua mzize amepata ofa kutoka wydad zaidi ya 3 na...
We jamaa pamoja na kwamba unachezea utopolo nimekupigania sana ili timu yako isilalie fursa zinazokujia. Niliwahi kusema ukipunguza wenge wewe ndiyo unaenda kuchukua mikoba ya kina Samatta na kuibeba Taifa Stars kwa miaka 5 ijayo. Utulivu wako wa sasa unaonyesha kile nilichokiona.
Wydad...
Klabu ya Wydad Athletic Club imewasiliana tena na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya wachezaji wawili, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki.
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho
Feisal 'Fei Toto' Salum - Azam FC
Katika dirisha la usajili la kiangazi Julai 2024, Fei Toto alihusishwa na klabu kubwa Afrika kama Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini, Wydad Athletic Club ya Morocco, pamoja na Simba SC. Hata hivyo, dau lake la TSh bilioni 5.1 (kwa mujibu...
Huyu kijana ametrend vibaya sana ,sasa inabidi watu walio karibu nae kumjenga kifikra ili asipotee,kwani kama hatosaidiwa na kwa elimu yake ilivyo ndogo atapotea soon
Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024.
Wachezaji...
Striker force ambaye amezoea kupokea makrosi ya Joyce Lomalisa,Djuma Shaban,Shadrak Boca na Max Nzengeli jana alipoina inakuja krosi ya wakongo akajua yupo kwenye majukumu ya klabu akaitia kunyavu cha kushangaza akaona wenzie hawashangilii ndipo huzuni ilipomshika,cha pili moroco anatakiwa...
Unaambiwa, vigogo wa soka la Morocco, Wydad Casablanca, hawajakata tamaa. Wakifukuzia saini ya mshambuliaji wa Taifa Stars na Yanga SC, Clement Mzize. Hii ni baada ya klabu yake kuweka wazi kuwa hajupo sokoni. Lakini Wydad hawajali, hawasikii wala hawaogopi—wanaendelea kushindilia mlango ambao...
Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika.
Lengo mashabiki na wanachama wawaone "mnafight" sana kumbe nyuma ya pazia mufanikishe exploitation Kwa...
Mshambuliaji kinda mzoefu wa miaka 20, Clement Mzize, ameonekana kuwa hatari katika kikosi cha Yanga, akionyesha kiwango bora katika mechi za kirafiki na mashindano.
Sifa zake za uchezaji zimemfanya kuwa mchezaji wa kutegemewa, na sasa matumaini ya Tanzania kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika...
1. Tuwe wa kweli, Simba pale nani ana profile kama Mzize? Sio simba tu hata azam fc nani? Hamna
2. ligi nzima nani? Amna.
Mzize ni bonge moja la mchezaji, ni yanga tu ina alot of stars. Na bado mzize anapata number. Hivi mnajua kupata number yanga ni kazi kweli kweli. Also
3. Simba nani...
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali...
Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni.
Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao 4-1 ilioupata Yanga dhidi ya Azam katika fainali ya Ngao ya Jamii iliyochezwa juzi Jumapili kwenye...
Wydad Casablanca Wameongeza kasi yao kuinasa Saini Mshambuliaji Kinda wa Tanzania na Yanga Africa Clement Mzize
Offer ya Wydad Casablanca kwa Clement Mzize inatajwa ni 1.8B Salary+Signing on fees on 3 years contract
Clement Mzize kwenye mikono ya Rhulani Mokwena.
Kama unajijua haufahamu soka vizuri usipoteze muda kusoma hili andiko. Tafuta kazi zingine ukafanye. Leo naandika na kumzungumzia Mzize kwa ajili ya “Watu wa mpira”
Nawasikia mtaani huko mnasema Mzize anazingua, mara ooh! Mzize hafai. Leo nataka tuongee soka, leo ni mwendo wa ‘Facts after...
Kwanza kabisa hawa wote ni vijana wadogo, Elie Mpanzu ana miaka 22, na Mzinze ana miaka 22, Kiuhalisia Mzize ana mafanikio makubwa sana kuliko mpanzu, hata ubora wa uwanjani bado Mzize yupo juu, hapa chini ni strength zao, sasa angalieni nani fundi:
1. Scoring capability (Uwezo wa Kufunga)...