Click Farms/Mashamba ya Kubofya/Kubonyeza.
Haya ni maeneo, hasa katika Asia, ambapo matapeli "hufanya kazi" kwenye mamia ya simu za rununu kwa wakati mmoja kwa malipo duni.
Bosi wao ni "mkulima wa kubofya au kubonyeza" ambaye ni kama "bwana shamba."
Matapeli hawa hucheza video kwenye tovuti...