clinic

  1. A

    Clinic ya mama kwa walimu: Naomba kujua hii clinic ya mama jinsi inavyofanyika

    Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini kuwa huyu mwalimu anapaswa kulipwa anapewa chake au ndo yaleyale ya ombi lako linashughulikiwa...
  2. Lord denning

    Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  3. Masaki road

    ASALAAM ALAYKUM,, NDG zangu Nina swali. Juu ya mjamzito na matibabu yake anapoumwa akiwa ameanza clinic.

    Nianze na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema. Ndugu zangu nauliza Kwa mjamzito ambae anaendekea na clinic akiumwa magonjwa yahusianayo na ujauzito wake je matibabu yanakuwa yanalipiwa ama yanakuwa free kama nilivyoskia kwamba wajawazito wanatibiwa bure Mwenye taarifa sahihi anielekeze...
  4. A

    Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe

    Habari wakuu, Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe kwa kutumia cheti chake? Naomba pia kujua changamoto kubwa au vikwazo ambavyo unaweza kukutana navyo katka kufungua dental clinic. Shukrani.
  5. PharaohMtakatifu

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/= Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
  6. K

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto, makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini

    Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto,makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini Utangulizi WAKATI nchi nyingi duniani zikiendelea na mkakati wa kuboresha sekta ya afya ili kufikia agenda ya 2030 Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) lengo 3...
  7. A

    IVF Clinic mbona ni kama wapo kiutapeli na kibiashara zaidi?

    Habari wana Jamii forums Hivi kuna ukweli wowote juu ya ivf mbona ni kama wapo kiutapeli na kibiashara zaidi ya kusaidia watu, unakuta clinic moja kwa mwaka anaweza akafanikiwa mmoja watakae muweka kwenye post zao za social media na waliobaki wataambiwa warudi na wanalioshwa tena ikiwa kabla ya...
  8. MIRA01

    Vifaa gani natakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani?

    Habari wana jamvii, msaada wa aina ya vifaa navyotakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani! Msaada wa mawazo juu ya machine na mitambo ya kuwa nayo kama clinic ya macho
  9. H

    DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

    Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
  10. D

    Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

    Bila kupoteza Muda nijielekeze moja kwa Moja kwenye Mada. Wanawake wamekuwa wakipambania sana usawa 50/50 na serikali imekuwa ikitumia mbinu Nyingi sana ili kufanikisha jambo hilo ambalo ni kinyume kabisa na tamaduni zetu, hata kwenye vitabu vyetu vya dini ambavyo vinataka mwanamke awe msaidizi...
  11. Zero IQ

    Kesho nampeleka mwenza wangu Clinic, vitu gani vya kuzingatia?

    Niko na mwenza naishi nae, bado sijaoa ila niko nae tu kuvukisha kipindi hiki cha baridi kipite salama bila kubanwa na Ngiri. Mwenza wangu ni mjamzito, na kesho namsindkiza clinic kwenda kumfungulia kadi. Kwa kweli sijawahi kwenda huko, watoto wangu wote ni mama zao tu ndio walikuwa wanaenda...
  12. Rutunga M

    Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

    Wadau. Nafikiri mnamkumbuka huyu tatibu aliyekuwa maarufu Jijijini Dar Es salaam hasa miaka ya 2010 hadi 2017 . Huyu mwamba amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni Jijijini Dodoma na tayari amezikwa Jijini Dar huku kukuiwa na utata wa familia ya mkewe aitwaye Riziki mwenyeji wa...
  13. Dr Luu

    Ni hatua gani zakuchukua kabla yakufungua clinic ya tiba asili

    Amani ya Mungu iwenanyi wapendwa, Nimewiwa kuandika makala hii nikitaka kujua taratibu na hatua/taratibu za kufuata kiserikali. ili niweze kuwa na kliniki ya kutoa matibau ya mitishamba au store ya dawa za tiba asili. Asanteni wapendwa.
  14. Mkogoti

    Foreplan Clinic: Nani mmiliki wake? Dr. JJ Mwaka ndo anahusika au yeye ni kama Msemaji?

    Habari za mida ya jioni Wakuu poleni na shughuli za kutwa nzima! Hivi nikiwa naangalia TV naona kila channel baada ya muda Fuani kidogo na hii nimeishuhudia Channel Ten, Star TV, ITV, clouds TV. Linakuja Tangazo la Dkt. JJ Mwaka wa Foreplan Clinic anatoa maelekezo yake jinsi ya kutibu magonjwa...
  15. Nigrastratatract nerve

    Vigogo wengi walikuwa na Clinic zao za magonjwa sugu nchi za nje mipaka imefungwa hawana pa kukimbilia tena ndio maana wanateketea

    Ukifika kwa daktari kuna kitu kinaitwa Historia ya mgonjwa Mgonjwa kumtibu lazima ujue historia yake in detail ili ikusaidie kumpa tiba sahihi Ndio maana watu wengi wenye uwezo wana family Doctors Family and private Doctors anasaidia kujua akupe dawa gani na anajua dawa mbaya na hatarishi...
  16. Kibaba MFS

    alpha - Medical Practice Management System

    A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks It is a web based Application that works with all...
Back
Top Bottom