clinical officer

  1. wa kibondemaji

    Kusoma BSc. Phamarcy ukiwa ni Clinical Officer

    Habari wana JF, Nina rafik yangu alisoma CBG akapata division II ya 12, baada ya hapo akaenda kusoma clinical medicine akapata GPA ya 4.2. Sasa anaomba msaada je akitaka kusoma Bsc pharmacy itawezekana kwa hivyo vigezo tajwa hapo juu?
  2. A

    DOKEZO NACTVET wanafelisha wanafunzi wa Clinical Officer makusudi, mamlaka husika naomba iliangalie

    Hello habari, Malalamiko yamekuwa mengi kwa wanafunzi wa clinical officer kwa vyuo vingi hapa Tanzania, wanafunzi wanafelishwa makusudi, vyuo vingi wanaopata pass hata robo ya darasa hawafiki, wanaopata sup wakienda kuzifanya wanafelishwa tena na wanapata Repeating Modules hivyo inawalazimu...
  3. One yes

    Kigoma Clinical Officer COTCK tupeane muongozo wa taasisi

    Wanachuo tunaojiunga kwa mwaja wa masomo 2024/2025 tujuane tupeane location n kuchangia mawazo zaidi. Na kwa walio pitia chuo icho pia tupeane msaada🙏🏼🙏🏼
  4. s8plus

    Fursa ya masomo kozi ya Clinical Officer

    Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya limeshafunguliwa wahi kabla halijafungwa. Bofya hapa kujiunga na group letu la whatsapp kwa maulizo...
  5. B

    Natafuta kazi, clinical officer

    Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza, nawasilisha Kwa maelezo Zaidi...0719926468
  6. msafi WCB

    Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

    Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya. Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii kozi utaweza kutibu baadhi ya magonjwa na kufanya upasuaji mdogo mdogo, kozi hii ni ya miaka mi 3...
  7. cold water

    Natafuta kazi clinical officer

    Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
  8. Jamii Opportunities

    Clinical Officer – CDCI at Ifakara Health Institute October, 2023

    Position: Clinical Officer (1 post) Reports To: Project Leader Work Station: Ifakara Position Summary Ifakara Health Institute seeks a qualified and experienced Clinical Officer. The individual will be responsible for evaluating, diagnosing, treating and managing patients with HIV or...
Back
Top Bottom