cloatus chota chama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Nini Chama? Kulikuwa na Emmanuel Anorld Okwi, Nteze John Lungu na wengineo!

    Cloatus Chota Chama Nikiwa shabiki wa Simba niliupenda uchezaji wa Chama lakini nimekuwa nakerwa mno na tabia yake ya kuzua sintofahamu kila unapofika wakati wa usajili. Kwa tabia hii ni vizuri Kwa viongozi wa Simba wasibabaike na Hilo la Chama wamwache asuke au anyoe atajijua mwenyewe, kwani...
  2. KAGAMEE

    Why always Chama? Kama tupo serious mwacheni aende hana jipya tena

    Viongozi wangu wa Simba mwacheni huyo msaliti aondoke,akibaki itakuwa yale yale.Tutapigwa na Uto mpka tuchakae. Huyo anatumiwa na Manara kuuza mechi muhimu.Mwacheni×100.
  3. C

    Chama anasajiliwa Yanga kwa ajili ya kuuza jezi na kuongeza tu umaarufu wa brand ya Yanga

    Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu. Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha. Yanga wanapata sifa...
  4. Metronidazole 400mg

    Cloatus Chota Chama anataka mpunga mrefu ili kubaki Simba

    Cloatus Chota Chama Ni kweli bado hakijaeleweka. Kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama bado hajamwaga saini ya kuendelea kubali Simba baada ya mabosi wa Msimbazi kushindwa kumtekelezea mahitaji aliyowasilisha mezani ili asalie kikosini. Ipo hivi. Utata umeibuka ni baada ya mabosi wa Simba...
Back
Top Bottom