cloud

  1. M

    MSAADA JINSI YA KUWEKA QUICKBOOK KWENYE CLOUD

    Habari wakubwa, Naomba kwa yeyote yule anayejuwa na mwenye uwelewa namna yakuweka Quickbook kweny cloud anicheki 0752338979
  2. chiembe

    Katikati ya kikao Arusha, Makonda atamba kumnunulia Mercedes Benz mtangazaji Cza wa Clouds, alimpigia simu akamchagua aje amuulize maswali

    Nilisikiliza interview ya Makonda huko Arusha, na moja ya jambo alilojitapa ni kumpatia gari mtangazaji wa Clouds aitwaye Cza. Na Cza anakiri kwamba alienda Arusha kwa kuitwa na Makonda, na si kwa kupangiwa kazi na ofisi. Naona kuna mradi wa kumtakatisha mtu.
  3. Andazi

    Iphone 7 plain i cloud lock

    Wadau nilinunua hii simu kwa mtu ambaye aliuziwa na mtu na yeye alisema usiirestore itajifunga Mimi mbishi nikatumia itunes nika iupdate kisha nikairestore hapo ndo kasheshe simu ikajifunga Nikafanikiwa kuibypass ila shida network haisomi na pia ukiizima ikiwaka inalock tena Wadau mwenye...
  4. I am Groot

    CLOUD SEEDING: Mafuriko yanayoikumba Saudi Arabia ni matokeo ya kujaribu kushindana na asili

    Cloud seeding ni aina ya maboresho ya hali ya hewa yenye dhumuni la kubadilisha kiasi au aina ya mvua, kupunguza mvua za mawe au utawanywaji wa ukungu. Ila Mara nyingi lengo huwa ni kuongeza uwezekano wa unyeshaji wa mvua au kuangushaji wa snow, ama kwa namna nyingine njia hii hutumika kuzuia...
  5. Mpetde

    Nini tofauti ya SSD, Cloud Storage & Virtual Storage?

    Mkuu The bump Tunaomba utoe ufafanuzi wa vifuatavyo SSD ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Cloud storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Virtual storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini? Tunaomba maelezo yaliyojitosheleza maana nimefanya km...
  6. Mwl Athumani Ramadhani

    Wachina Wana teknolojia ya upandikizaji mawingu, tuwatumie kuondoa tatizo la maji na ukame nchini

    Ndugu zangu Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa. Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa. Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
  7. S

    Jifunze Cloud infrastructure na android development

    Kwa mwaka wa tatu program ya ufazili wa kujifunza Cloud infrastructure na android development kupitia pluralsight,Google na Andela Deadline ya kuingia 31-05-2021 Tusipitwe na fursa hii muhimu. Tembelea website ya Andela au pluralsight kufanya application.
  8. Jamii Opportunities

    Customer Success Executive (SaaS / Cloud experience mandatory) at Infobip

    Company Description At Infobip we dream big. Last year, over half of the world’s population interacted with businesses through the Infobip platform. It didn’t happen by chance: through 60+ offices on 6 continents, we are truly committed to helping our 200 000 enterprise clients reach and engage...
  9. babu M

    Msaada: Digicert cloud services CA-1 Not trusted.

    Hii meseji imekuwa ina pop up kwenye iphone yangu mara kwa mara. Hata sasa hivi nilipokuwa ninaandika hii thread ime pop up tena. Msaada: -Madhara yake yapi ikiwa “Trusted” au “Not Trusted”? -Faida yake yapi ikiwa “Trusted” au “Not Trusted”? - Jinsi gani ninaweza kutatua ili tatizo? It is very...
  10. MK254

    Kenya Partners With Amazon to offer training to Kenyan youth in Cloud Computing

    The Ministry of Information Communication and Technology has partnered with E-commerce giant Amazon to offer free training to Kenyan youth in Cloud Computing. The programme dubbed ‘Amazon Web Services re/Start’ was rolled out last year for countries in Africa. In collaboration with the Kenyan...
  11. I

    CAG Atilia Shaka Malipo ya Sh Mil 830.7 Clouds & TBC

    Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as hawakuonesha risiti ya kielektroniki (source: CAG report, 08 Apr 2021). Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa...
  12. Troll JF

    Uchaguzi 2020 Upinzani bado wana mentality ya kujaza umati ndiyo kukubalika

    Wasalaam, The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa. CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na...
Back
Top Bottom