clouds fm

Clouds and the Earth's Radiant Energy System (CERES) is on-going NASA climatological experiment from Earth orbit. The CERES are scientific satellite instruments, part of the NASA's Earth Observing System (EOS), designed to measure both solar-reflected and Earth-emitted radiation from the top of the atmosphere (TOA) to the Earth's surface. Cloud properties are determined using simultaneous measurements by other EOS instruments such as the Moderate Resolution Imaging Spectroradiometer (MODIS). Results from the CERES and other NASA missions, such as the Earth Radiation Budget Experiment (ERBE), could lead to a better understanding of the role of clouds and the energy cycle in global climate change.

View More On Wikipedia.org
  1. Shukrani sana 'Bonge' wa Clouds FM

    Hivi karibuni, humuhumu JF, niliandika kwa kuuliza: Kwanini mabasi ya mikoani 'yalazimishwe' kuingia kila stendi?. Leo, asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast, mtangazaji 'Bonge' alikuwa na mazungumzo na wadau wa usafirishaji kwa mabasi makubwa. Hakika, wadau wanalalamikia kitendo cha...
  2. I

    Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira

    Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira kwanza ili awapandishe madaraja walioko kazini,duh ukijiuliza yupi mwenye uhitaji kati ya ambaye Hana ajira na ambaye ana ajira?. Leo hii vijana wapo mitaani wakiambiwa wajiajiri wenyewe lakini ukirudi nyuma...
  3. N

    Bata la Dar "Clouds Fm" vs Komaa Concert "Efm" Nani ni Nani?

    Nimesikiliza Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast leo asubuhi kutoka kwa watangazaji wa kipindi hicho Nanuu, " Wameamua kukuleta BM (Adam Mchomvu) baada ya vijana kushindwa..." Mwisho wa kunukuu. Nae Adam Mchomvu alikiri Nanukuu, "Kuna eneo vijana wamepwaya ndio maana nimekuja..."...
  4. Kwa mnaotaka Simu za 'Madili' na za Bei 'Nafuu' subirini baada ya haya 'Matamasha' ya leo ya EFM na Clouds FM mtazipata kwa Wingi tu

    Nimepishana na 'Coasters' mbili za 'Masela' na Wazee wa 'Ndole' tupu zikielekea Tanganyika Packers Kawe walipo EFM na Tamasha lao na nyingine ikielekea Leaders Club Kinondoni waliko Clouds FM na Tamasha lao, na kwa zile 'Sura' au 'Nyago' nilizoziona nina uhakika kuanzia Kesho Asubuhi huenda...
  5. Clouds FM mnaboa

    Hatukatai kurusha matangazo ya biashara, kinachoboa ni bandika bandua ya matangazo tu mwanzo mwisho for a long long time. Kinachoboa zaidi tangazo lilelile ulilolisikia sekunde iliyopita, unalisikia tena baada sekunde chache, as if wasikilizaji ni viziwi na wasahaulifu kila baada ya sekunde...
  6. Tatizo nini Clouds FM, Radio Free & Star TV?

    Takribani wiki karibia 5 Clouds fm, wiki 2 RFA na Star tv siku ya 2 hawarushi matangazo baadhi ya mikoa. Tatizo nini hali hii, wahusika kupitia mitandao yao ya kijamii hawatoi taarifa yoyote kutopatikana matangazo baadhi ya mikoa nchini!
  7. M

    Mchambuzi Privaldinho wa Clouds FM tafadhali acha Kutuzidishia Machungu na Kutupandisha Hasira Watanzania wapenda Soka

    'Sasa ni Saa 12 na tupo hapa Uwanja wa Ndege JNIA tukijiandaa Kuruka kwenda nchini Madagascar. Tunawaombeni Watanzania wote mtuombee tufike Salama, tucheze na tushinde Mechi na twende QATAR Mwakani,' Privaldinho Chanzo: Clouds FM Sports Extra leo. Kwahiyo tuwaombee muende mkafungwe tena au...
  8. C

    Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

    Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari...
  9. Kumbe huyu ndio Mamy Baby wa Clouds FM

    Huyu mtangazaji ana sauti nzuri sana, nadhani wale wasikilizaji wa xxl ya clouds fm watakuwa wanajua. Sasa nikasema ngoja nimtafute insta nimuone alivyo, nikasema mbona haendani na sauti nzuri hivi hana makuu yupo simpo tuu.
  10. Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

    Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana! Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba. Inaonekana Mo amelipa hela nyingi...
  11. Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

    Mambo ni mengi muda hautoshi, golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja, hayo sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa wachambuzi wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds Fm. Ni nani anawatumia Clouds kutuhujumu sisi Yanga? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  12. Kumbe kuna muda huyu Mchambuzi wa Michezo mwana Yanga SC 'lia lia' Privaldinho wa Clouds FM huwa anakuwa na akili Kubwa hivi? Heko Kwake!

    " TV Sponsorship ni tofauti kidogo na uwekezaji ambayo unaweka 20bil mara moja sio kwa mgawanyiko. Kama watu wanafikiri ni rahisi basi atokee mdhamini atoe hata nusu Tsh 20bn kwa mkupuo. Wadhamini wenyewe wanategemea kupata humo humo ili waweze kulipa tena " Chanzo: @privaldinho Haya sasa wana...
  13. B

    Kibatala: Wanaopinga Katiba Mpya wana Maslahi Binafsi

    Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya. "Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo. Zaidi sana anasema Kibatala...
  14. TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

    Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete (iliyoigizwa) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa. Hapa GENTAMYCINE nimejikuta...
  15. K

    Naomba kumjua msoma classifieds wa Clouds FM

    Kuna sauti ya kike huwa inasoma Classfieds(mfano yale matangazo ya vyuo na shule) pale Cloudsfm kwa ubora wa juu kabisa, matamshi mazuri+sauti nzuri corporate. Nadhani hakuna msoma classfieds anayemfikia kwa sasa. Please naomba jina lake kwa wanaomjua
  16. H

    Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

    Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM. Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana? Kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana...
  17. D

    Nandy Festival - Clouds FM

    Leo Nandy ana jambo lake, atakuwa Clouds FM akisindikizwa na baadhi ya wasanii. Jukwaa limetengenezwa eneo la kuegesha magari, pamependeza sana. Jambo lenyewe linatarajiwa kuanza mishale ya saa 4 mpaka alasiri huko. Watakao pata nafasi wafike zilipo ofisi za Clouds FM Mikocheni, hakuna...
  18. Clouds FM, Millard Ayo na Diva wamemaliza ugomvi na Diamond Platnumz?

    Hawa ndugu zangu wameanza kuja kwa kasi sana kum - support Diamond Platnumz haswaaa. Deal aliyoi-sign na Warner inazidi kuwafumbua watu. Swali ni: Je, kuna nini kinaendelea au ndo mabifu yamesha sitishwa? Naomba mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe.
  19. M

    Clouds TV ( 360 ) na Clouds FM ( Power Breakfast ) mnajisikiaje kufanya Interviews na Watu wanaoharibu Serikalini?

    Msipojitathmini taratibu sasa CMG ( Clouds tv 360 na Clouds FM Power Breakfast ) mnaanza kupoteza Credibility yenu kwa Audience kubwa mliyokuwa nayo. Nyie ndiyo Media mnayoongoza kutumika kujipendekeza na kuwapamba Viongozi wenye Sifa na kashfa mbaya walioko Serikalini kwa kuwapa Airtime kubwa...
  20. M

    Sabaya ungekuwa 'Smart' usingefanya Interview na Clouds FM kipindi hiki

    Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana. Kubugi kwenyewe ni hivi: 1. Mnajaribu kupreempt maamuzi ya mamlaka za uteuzi kupitia propaganda. Kwamba mnataka upande wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…