Habari wakuu!
Mtaani kuna story nyingi kuhusu kampuni ya coca cola kuna wengine wanasema imeanzishwa sijui na watu wawili wanaoitwa Coca na Cola ila hizo sio story za kweli. Kutokana na uchunguzi nilioufanya huu ndio ukweli kuhusu kampuni ya Coca Cola.
Historia ya kampuni hii inatupeleka...
𝗨𝗴𝗼𝗺𝘃𝗶 𝘄𝗮 𝗰𝗼𝗰𝗮 𝗰𝗼𝗹𝗮 𝗻𝗮 𝗣𝗲𝗽𝘀𝗶
Moja kati ya tangazo la kitambo liliundwa ili kumdhihaki Coca-cola toka kwa Kampuni ya Pepsi, ni hii tangazo la unywaji wa soda ya pepsi.
Shida ilianza pale Coca cola 🥤 alipotangaza hadharani ameuza na kupata faida mara 4 zaidi ya kampuni ya Pepsi mwaka 2001, Pepsi...
Wakuu za sahizi,
Nadhani mnakumbuka lile tukio lililofanyika 2021, la mchezaji cr7 alivyokuwa akihojiwa na akasogeza chupa 2 za coca akasema tutumie maji
Basi asee juzi kati hapa nimepitia baadhi ya threads humu nikakuta watu wanasema bidhaa za mo extra ya kuwa zina athiri maini
Na jinsi...
Cocacola walitoa tangazo lao mwezi wa December 1995, likiitwa CocaCola Caravan, nilikuwa nimemaliza darasa la saba. Aisee nilivyoliona nilichanganyikiwa, lina uubunifu wa kuanzisha hisia zako hata kama huipendi Christmass.
Tokea mwaka huo CocaCola walilirusha tena mwaka 1998 na nafkiri 1999 ila...
Soda Tsh 600 badala ya 500
Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500
Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=
Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=
Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na...
Stores Assistant
Details
Reference Number CCB220110-3
Job Title Stores Assistant
Job Category Manufacturing
Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania)
Job Type Permanent
Location - Country Tanzania
Location - Province Not Applicable
Location - Town / City Dar Es Salaam
Job Description
Coca-Cola...
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
Reference Number CCB210709-3
Job Title AREA SALES MANAGER
Function Marketing & Sales
Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania)
Job Type Permanent
Location – Country Tanzania
Location – Province Not Applicable
Location – Town / City Dar es Salaam
Job Description
Coca-Cola Kwanza Ltd has an exciting...
Hello bosses, kuna baadhi ya media hasa za Spain na mashabiki wa Ronaldo wanakuza sana effect ya hili jambo la Ronaldo kuweka pembeni chupa za coca cola na kuchagua maji wakidai kitendo hicho kilifanya hisa za Coca cola kushuka.
Nimeona sio mbaya kuchambua hili jambo kwa sababu ni uongo mtupu...
Kwasababu leo nimeona magari ya Bonite yanasambaza juisi za minute maid, zilizotengenezwa kiwanda cha Cocacola kwanza kilichopo Dar, INA maana Cocacola Kwanza wanashindwa hata kununua magari madogo ya kusafirishia juisi zao huku moshi mjini?
Nahisi hizi kampuni mbili (Bonite na Cocacola Kwanza)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.