Naenda kwenye point moja kwa moja. Jamani kama wewe ni mtu mwenye kupendelea kupendeza nyakati zote basi huna budi kumfikia huyu jamaa Location ni Mbezi beach Afrikana pia popote ulipo kwa Dar es Salaam basi ni huduma itakufikia na utapendeza ni kijana safi mwenye anaejitafuta basi hatuna...
The day is finally here shostie. Have loads of fun and more happy days of joy .
Let your life be filled with health love strength success and passion.
Wish you more years of happiness and wonderful experience cocastic .
Happy birthday cocastic
Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na...
Habari za zenu Wana Jf
Throw back Tuesday
Ilikuwa mwezi wa 12 miaka mingi kidogo nyuma baada ya kwenda likizo Morogoro tulifikia kwa baba mdogo ambaye alikuwa anaishi maeneo ya tazara
Siku moja majira Kama ya saa 8 au 9 baada ya kula msosi nikawa nimekaa kwenye kibaraza Cha mbele ya nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.