Wakuu msithubutu kufuatilizia wanaoelekeza kudial namba flan flan (code) kwa Mfano #33*0000# eti itakusaidia kufanya jambo flan kwenye simu yako.
Ushuhuda. Julie kabla ya eid Al adhaa niliangalia kwenye clip ikasema ill mtu asikupate labda hutaki usumbufu na utabaki online dial code nikazidial...