Aise hali sio poa kabisa.
Sijui sasa hivi huko vyuoni wanawafundisha nini hawa watoto.
Ipo hivi juzi juzi hapo kulikua kunaitajika new staff. Pendekezo lilikuza hawa staff wapya wawe graduate wapya (Walio maliza mwaka huu) au mwaka jana lengo lilikua kuwapata fresh from school ile wawe trained...