Nini maana ya electoral college? Uchaguzi wa USA upo kidogo tofauti. Wingi wa kura kuna muda hautoi ushindi kwa mgombea.
Mfano ni Hillary Clinton alipata kura nyingi kuliko Trump, lakini Trump akashinda uchaguzi wa uraisi.
Hiki kitu sijakielewa kwa undani kuhusu point 270 Anazopewa mgombea...