8.2.2025 pale kwa Tata Madiba, Zero Brainer alishinda TUZO ya mtengeneza maudhui bora ya michezo wa mwaka kutoka TIKTOK.
Tuzo hii ililipa TAIFA la Tanzania heshima kubwa sana, alikuwa anashindana na watu wakubwa kutoka mataifa mbali mbali duniani.
Maudhui yake Zero brainer ndio mtanzania...