Sasa hivi kila mtu JF ni mbabe, analeta fiction stories, anaandika anachojisikia kwa sababu asilimia kuwa ya members tunatumia fake IDs.
Nawaza ile mara ghafla kila member analog in anakuta amekuwa verified kwa jina lake halisi, hapa najua hapatakalika. Sio nyumbani, sio makazini na wala sio...