Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 23, 2024 amempokea Mhe. Mbae Mohamed, Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro anaeshughulikia Nchi za Kiarabu, nchi zinazozungumza Kifaransa, Diaspora na Utangamano wa Afrika ambae amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kuongoza...