competition

  1. October 2pm

    Mikoa ambayo itakuwa na competition kûbwa Kutokana na wasailiwa kuwa wengi Vs mikoa yenye competition ndogo

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Waalimu mmepewa Siku tatu za kufanya mabadiliko katika akaunti zenu kuchagua mikoa àmbayo ntakuwa comfortable kufanya usaili WA mahojiano endapo mtafauku Written. Choose wisely. Unaweza ukajikuta umechagua Mkoa weñye wasailiwa wengi zaidi na hiyo kuzidisha...
  2. J

    Anaupiga Mwingi: Wakulima wa Tanzania sasa ruksa kushindana kwenye Soko la Kenya kwa Fair competition!

    Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto Kamwene 😃😃
  3. Its Pancho

    Tuwaombee simba wacheze CAF's competition kuliko Azam

    Wakuu Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko azam. Hawa azam hawatabiriki kimataifa zaidi wataenda kufanya tu point zetu zikwame tu Kama msimu...
  4. S

    Kanuni za CAF zinatoa unfair competition, hivyo sioni uhalali wa kulnganisha timu mbalimbali za hapa Afrika

    Kanuni za CAF zinaItumika katika michezo mbalimbali inayosimamiwa na CAF, huwa naziina haziko fair na hivyo zinaondia uhalali wa kuziweka timu katika mizani moja. Mbali na Kanuni mbalimbali zilizopo, kilichonisukuma zaidi kuandika huu uzi ni baada ya leo kuelezwa kuwa timu ambazo ni mabingwa...
  5. B

    Ugandan Ingenuity Triumphs: Rise and Shine Secondary School Wins Sahara STEAMers Regional Competition

    In a groundbreaking display of innovation, Team Imperial Tech from Rise and Shine Secondary School in Ntinda, Uganda, has emerged as this year’s regional champions of the Sahara STEAMers Grand Demo Competition 2.0. The competition, now in its second year, is organized by the Sahara Group...
  6. P

    Salary rate ya Fair Competition Commission ipoje?

    Habari zenu wakuu, Salary rate ya FCC inakuwa vipi? Kuna rate zao FCCGSS from 4 to 12 inakuwa inahesabika vipi? Asanteni
  7. Nukes

    Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

    Naomba msaada wa mawazo
  8. Flowerpot

    Upwork kuna competition kubwa sana

    Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh! Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa...
  9. sky soldier

    GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

    Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu...
  10. Labani og

    kocha wa simba Pablo Franco inawezekana ameletwa na GSM ili kuleta Fair competition kwenye ligi yetu pendwa

    kama title inavyosomeka hapo juu kutokana na uchambuzi wangu wa kisoka inawezekana kocha wa timu ya madrid ya bongo (kolo fc) pablo franco ameletwa na brand kampuni kubwa ya GSM ili kuleta fair competition kwenye ligue yetu pendwa kutokana na ndugu zetu hawa kuanza kulia lia mapema kwamba hakuna...
  11. MK254

    Kama kawaida; Kenyan Law Students Emerge Top in African Competition

    Law students representing Kenya in a continental competition emerged top, trouncing students from other prestigious universities across the continent. A team of two students from Kenyatta University (KU) emerged top in the African Humans Rights Moot Court Competition. Sidney Tambasi and...
  12. Zanzibar

    Lamu port is already in fierce competition with Mombasa port

    Lamu Port curves niche in transshipment business Kenya could be a major player in transhipment business with the new Lamu Port, as it starts to attract business two months after commissioning by President Uhuru Kenyatta. The President officially launched the country's second major sea port...
  13. mkadiriajimajenzi

    Kwa bandari hii mpya ya Lamu, TPA ijifunge mkanda

    Serikali ya Kenya imewekeza pesa nyingi kujenga bandari ya Lamu ambayo itakapo kamilika itakua ya pili kwa ukubwa katika ukanda huu wa bandari ya hindi ikiongozwa na ile ya Durban S.A Hapo awali competitor mkubwa wa bandari ya Dar es Salaam ilikua ni bandari ya Mombasa, ujio wa bandari hii...
Back
Top Bottom