Wanajamii Tech ningependa kujua jinsi ya kuwa software developer kwa kujifunza mwenyewe I mean language (s) course, resources n.k
Pia kwa hapa nchini naona community iko ndogo Sana sijui ndo kuwa kwenye Giza au la madeveloper Sion hata community hakuna sijui imekaaje hapa.
Okay turudi kwenye...
Application hii nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kujifunza programming.
Kwa watu wenye idea ya mambo ya cryptology watanielewa zaidi.Cipher ni maandishi ambayo yamebadilishwa ili yasiweze kueleweka ili kuficha kile kilichoandikwa.
Mtu anaweza kuona maandishi haya ya mficho lakini...
Uzi huu unaletwa kwenu na
Orb Tech LLC.
Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2
Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications.
Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.