computer programmers

  1. Jinsi ya kuwa software developer (self-taught)

    Wanajamii Tech ningependa kujua jinsi ya kuwa software developer kwa kujifunza mwenyewe I mean language (s) course, resources n.k Pia kwa hapa nchini naona community iko ndogo Sana sijui ndo kuwa kwenye Giza au la madeveloper Sion hata community hakuna sijui imekaaje hapa. Okay turudi kwenye...
  2. Computer Programmers Only: Ifahamu Application ya kubadilisha maandishi yasieleweke kwa ajili ya kuficha kilichoandikwa (cipher)

    Application hii nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kujifunza programming. Kwa watu wenye idea ya mambo ya cryptology watanielewa zaidi.Cipher ni maandishi ambayo yamebadilishwa ili yasiweze kueleweka ili kuficha kile kilichoandikwa. Mtu anaweza kuona maandishi haya ya mficho lakini...
  3. Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…