Kocha Antonio Conte ameachana na klabu ya Tottenham akisema ni kwa makubaliano na pande zote mbili ambazo zimefikia haki.
Hata hivyo, ni wazi kuwa mdomo ndio uliomkumba Conte klabuni hapo kwa kauli zake motomoto huku Spurs wakipendelea kula njaa.
Kocha Antonio Conte ameondoka katika klabu ya...
Baada ya siku kadhaa za presha na tetesi hatimaye pande mbili baina ya klabu na kocha huyo zimeafikiana kuvunja mkataba na sasa timu itakuwa chini ya uangalizi wa kocha wa muda ambaye ni Cristian Stellini.
Kwa maamuzi hayo Spurs inatafuta kocha wa nne ndani ya miaka miwili.
Kabla ya maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.