contemporary

  1. Nyumba Nafuuu

    List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  2. Nyumba Nafuuu

    Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  3. mlinzi mlalafofofo

    Mlioezeka paa contemporary mvua zimeanza hali ikoje kwako?

    Vipi hali huko kwako/kwenu? Maji ya mvua yanaingia ndani au?
  4. Bosspraise

    Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  5. stabilityman

    Pitia hapa ongeza ujuzi kuhusu nyumba za contemporary au hidden roof

    Kabla ya huajajenga nyumba yenye paa la kujificha ( hidden roof) soma ushauri huu👇 👉Hiddenroof ni nyumba ambazo zilikuwepo toka miaka ya nyuma hivi karibuni Zimekuja kwa Kasi. Na zimeacha kilio kwa watu wengi, hii ni kutokana na kulalamikiwa kwenye changamoto ya kuvuja. 👉 Nyumba hizi...
  6. Swahili AI

    Makadirio ya ujenzi Contemporary ya room 3

    Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja. Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana hapo juu. Nipo tayari kutoa vielelezo vingine kama vitahitajika.
  7. TUKANA UONE

    Aliyewaambia Contemporary House niza Gharama Nafuu ni nani?

    Wakati Moderators wakila Bata Ngorongoro na mimi kesho nielekee Kigurunyembe nikale Kanga! Hivi ni nani aliyeleta nadharia ya kwamba zile nyumba za kuficha paa almaarufu kama. "Contemporary House" niza gharama nafuu? Zile nyumba usipokuwa na pesa nakwambia utadhalilika na hakika utakuwa mmoja...
  8. JF Member

    CONTEMPORARY HOUSE- Bati gani zinafaa kuezekea.

    Nimekuwa nikitamani kujenga hizi nyumba lakini changamoto imekuwa ni kuvuja. Watu wengi naona wanapata tabu nyumba kuvuja pembeni, katikati na pale bati zinapochoka. Kwa maeneo ya unyevunyevu kama pwani bati zinachoka ndani ya miaka mitatu tu zinaanza kuvuja. Hii ni kwa sababu Contemporary...
  9. choupa moting

    Anahitajika fundi mzuri wa contemporary Mbeya

    Wakuu habarin za kazi. Natafuta fundi mzuri wa hizi nyumba za contemporary aliyeko Mbeya mjini kwa ajili ya kufix sehem kwenye ofisi panavuja. Ofisi imejengwa kwa aina hiyo hivyo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha imeanza kuvuja hivyo naomba tuwasiliane ili aje kufix. Anichek 0621 164 143.
  10. Fundi mahiri wa ujenzi

    Je, ni kweli nyumba mnazoziita contemporary (Hidden roof ) zinapunguza gharama ya kupaua?

    Hidden roof houses ni Kama hizi hapa Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%. Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia...
  11. Kuwite94

    Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

    leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house Contemporary house Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu Endapo mtu atajenga contemporary house ataokoa gharama kwenye kupaua kwani huingia bati chache tofauti na nyumba ya...
  12. The Sunk Cost Fallacy

    Nyumba ya contemporary inavuja na ukuta unaoza

    Tahadhari ni muhimu na watu tuliwaambia,nyumba za hidden roof sio za kupunguza gharama. Ona sasa fundi Maiko kamliza mtu,nyumba inavuja na ukuta unaoza,anaanza upya kufumua. Hakuna kitu rahisi,cheki hapa👇
  13. Muwa mtamu

    Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

    Habari waungwana na wadau wa ujenzi. Nawajaribisha tushirikiane kujadiliana aina hii ya ujenzi kwa wataalam na wadau wa ujenzi wa aina hii....karibuni 1.Je una changamoto katika ujenzi wa nyumba tajwa hapo juu? 2. Umejengewa nyumba ukakutana na changamoto ya kuvuja? 3. Wewe ni mjenzi na hujui...
  14. Nyumba Nafuuu

    Namna Kujenga & Kurekebisha Kuvuja Paa la Contemporary Houses (hidden roofing)

    Nyumba za contemporary au hidden roofing zimekuwa ni moja ya staili ya nyumba ambazo watu wengi kwa sasa wanapenda kuzijenga haswa vijana maana ndizo zilizo za ‘kisasa’ kwa sasa! Nyumba hizi zimekuwa zinavutia watu wengi sababu ya mwonekano wake wa boksi, ubapa na kona nzuri zilizoibeba nyumba...
  15. JF Member

    Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

    Nilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu. Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati. Afanyeje ili isivuje? N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili kuingiza bati na kuzibwa kwa cement ya water proof.
Back
Top Bottom