Sifahamu, ni tatizo la kiufundi, mifumo mbovu au mazingira ya rushwa? Ukitaka kufanya malipo kwenye taasisi hizi za umma kama Tanesco, Duwasa kwa Dodoma na nyingine kama hizo, ili upatiwe huduma husika imekuwa ni shida sana kupata 'CONTROL number' kwa ajili ya kufanya malipo. Mara nyingi watoa...
Leo au toka jana serikali haina mtandao. Malipo ya ada vyuoni kupitia control number ni shida siku nzima mtandao hauko hewani.
Kule CRDB napo ni shida hakuna mtandao. Nimelipa kitu flani kimenirudia mimi mwenyewe yaani pesa zimebaunsi
Vitambulisho vya NIDA navyo ni shida.
Eee Mungu tusaidie...
Habari wakuu!
Leo ni siku ya pili naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist.
Nini kinaweza kuwa changamoto hapo wataalam?
Wakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash wakanipa huduma. Ila ukihakiki ile control number inaonesha ipo invalid maana yake kuna wajanja wanakula...
Kata ya Nyamanoro Mkoani Mwanza wamekuwa wakiendesha kampeni ya kufunga maduka na kuchukua waliopo Madukani, hilo linafanyika kama unakuwa hujalipa Service Levy.
Hili suala sijui limetoka wapi na mimi kama Mfanyabiashara ni mara ya kwanza kusikia natakiwa kulipia Service Levy ya Shilingi...
Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie
Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika
na mwezi ushaisha nikikaa mpk tarehe 1 penati
naombeni mnisaidie namna ya kuipata conyrol number kwenye tovuti yake
Kuna kampuni imeanzishwa au kupewa tender inayokwamisha biashara nchini kwa kigezo cha wrong parking
Kampuni hii imekuwa chanzo cha wageni kugoma kutumia bandari yetu au kupeleka image mbaya nje ya nchi.
Kampuni haitoi control number ya malipo wanayodai wateja, haina risiti ya uthibitisho wa...
Kuna kero kubwa sasa hivi Watu kutoka Halmashauri ya Wilaya Ilemela Jijini Mwanza wanapita kila ofisi wanataka kodi ya mabango na ukiomba control namba hawataki kutoa.
Tunamba Serikali iondoe hiyo kodi kwa sababu mteja anajitangazia biashara zake kupitia bango ili apate kodi ya TRA, jamanI sisi...
Government Electronic Payment Gateway (GePG)
Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi?
Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
Naungana na ACT wazalendo kwenye hoja yao waliyoelekeza kwa Waziri mwenye dhamana na masuala ya maji: wateja wanaolipia kuunganishiwa maji ni wengi lakini hakuna vifaa. Ukiuliza unaambiwa serikali haijatoa vifaa. Wateja wenye mifumo ya maji isiyotoa maji ni wengi na hakuna sababu za kwanini maji...
Salaam,
Wanabord ninaomba kufahamishwa kwa yeyote inaefahamu anisaidie kunifshamisha.
Nacte wamefungua dirisha la udahili kwa vyuo vya afya ambapo deadline ni mwisho wa mwezi huu.
Kwa kosa nililofanya la kupata control number ya 10,000 nitalazimika kuomba chuo kimoja tu hivyo nitakua na risk...
Wasalaam Waungwana,
Naomba kupata msaada wa jinsi ya kupata control number mpya kwaajili ya kulipia leseni ya biashara, baada ya control number ya awali kuisha muda wa matumizi kutokana na tatizo la mtandao na system nzima ya tausiportal kutokuwa userfriendly.
Nimejaribu kubofya link ya help...
Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki.
Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.
Hebu wajirekebishe.
Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa.
Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.