Sifahamu, ni tatizo la kiufundi, mifumo mbovu au mazingira ya rushwa? Ukitaka kufanya malipo kwenye taasisi hizi za umma kama Tanesco, Duwasa kwa Dodoma na nyingine kama hizo, ili upatiwe huduma husika imekuwa ni shida sana kupata 'CONTROL number' kwa ajili ya kufanya malipo. Mara nyingi watoa...