Karibu katika speacial thread ya Copa America 2024 inayoendelea kule USA,
Tutakua tunaendelea kupeana updates hapa kwa yanayoendelea
Mpaka sasa ni Team tatu pekee zimeonyesha kiwango cha juu sana katika mashindano haya
Argentina
Uruguay
Colombia
Brazil ameanza haya mashindano vibaya kwa...
Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14.
Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916
Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024.
argentina na Uruguay ndiyo nchi zilizobeba ubingwa huu mara nyingi zaidi, 15 kwa kila mmoja
Brazil wao wakibeba mara 9 tu...
Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze kushinda kombe akiwa na timu yake ya taifa.
Kwakawaida, Copa America huwa inafanyika kila baada ya miaka...
Usiku wa leo, Katika dimba la Maracana pale Brazil, kutapigwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Argentina Vs Brazil kuanzia saa 9:00 Usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki.
Mara ya mwisho Argentina kutwaa ubingwa huo ni mwaka 1993 wakati Brazil ni bingwa mtetezi.
Brazil imeandaa michuano hiyo...
Mahakama Kuu ya Brazil imesema Michuano ya Copa America ambayo inatarajiwa kuanza Jumapili inaweza kuendelea Nchini humo licha ya janga la Corona.
Majaji wametoa uamuzi huo baada ya Mkutano wa dharura kusikiliza maombi ya kusitisha mashindano hayo kutokana na COVID19 ikielezwa yatahatarisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.