Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14.
Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916
Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024.
argentina na Uruguay ndiyo nchi zilizobeba ubingwa huu mara nyingi zaidi, 15 kwa kila mmoja
Brazil wao wakibeba mara 9 tu...