Nimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini.
Bora zingepigwa marufuku Tanzania.
Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi?
Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine.
Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.