Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.
Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio?
Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiyaona.
Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na...