cosota

Ocnele Mari is a town located in Vâlcea County, Oltenia, Romania. The town administers eight villages: Buda, Cosota, Făcăi, Gura Suhașului, Lunca, Ocnița, Slătioarele and Țeica.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    COSOTA wateketeza bidhaa zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 75

    Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imeteketeza vifaa na bidhaa vilivyokamatwa kwenye operesheni ya kutokomeza uharamia nchini dhidi ya kazi za sanaa na fasihi pamoja na usambazaji wa matangazo ya televisheni kinyume na sheria zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh Milioni 75 amesema...
  2. LegalGentleman

    TAMRISO na COSOTA

    Tanzania Music Rights Society kwa sasa inatoa leseni za sanaa zinazoruhusu matumizi ya kazi za kibunifu katika maeneo ya kibiashara ambazo kabla ya mabadiliko ya sheria ya fedha zilikuwa zikitolewa na COSOTA. TAMRISO ndio sasa watakusanya na kugawa mirabaha sasa Mirabaha ni nini? Ni fedha...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro aipongeza COSOTA na kuipa maagizo

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AIPONGEZA COSOTA NA KUTOA MAAGIZO Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameiagiza Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) iandae taarifa kuhusu mgogoro wa Hakimiliki kwa kazi ya ubunifu wa michoro ya Tingatinga pamoja na kufuatilia Mtunzi na Mmiliki...
  4. Roving Journalist

    Ripoti ya Mtandao wa Sekta Bunifu Tanzania (CINT) imeonesha COSOTA waliipa JKT kazi ya kukusanya Mirabaha ya kazi za Sanaa

    Taasisi ya CINT inayofanya kazi ya Utetezi, Uzengezi na Uwezeshaji, Kuwaunganisha Wasanii na Taasisi zao na Kuzungumza kwa niaba ya Sekta ya Ubunifu Tanzania katika maeneo ya Sera, Fedha, Sheria, Elimu, Miundombinu na Teknolojia imezindua Ripoti ya Wadau wa Sekta ya Sanaa Tanzania ambapo katika...
  5. sinza pazuri

    WCB Wasafi kusaini wasanii wapya wawili, mashahidi wao watatoka BASATA na COSOTA

    Huu ndio utaratibu mpya wa recording label namba moja Africa. Japo hauwezi kuzuia watu wabaya kuwarushia maneno ila utapunguza wachimba chumvi kutema nyongo zao. Kwa sasa kupata nafasi WCB Wasafi linakuwa ni jambo la kitaifa. WCB for life baby! === Alichoandika Babu Tale.... Hivi karibuni...
  6. D

    COSOTA kuanza kuchaji mirahaba desemba mwaka huu

    COSOTA imesema wasanii watapata 70% na serikali itachukua 30% ya mirahaba itakayokusanywa kutoka kwenye vituo vya redio, TV na maeneo mengine yanayocheza nyimbo za wasanii kuanzia Desemba 2021. Serikali imeeleza hiyo 30% itaiwezesha kufika maeneo mengi zaidi kukusanya fedha hizo.
  7. DR HAYA LAND

    Cosota Wanaweza nipatia kibari cha Msemo wangu huu "kufuga ndevu nikupenda wembe sh 100"

    Je huu msemo wangu au ushairi pale cosota wanaweza nipatia haki miliki "kufuga ndevu nikupenda wembe sh .100"
  8. Chief Mtangi

    Je, wasanii wa muziki wamekubaliana na uharamia (piracy) katika kazi zao?

    Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri. Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
Back
Top Bottom