costech

The Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) is a parastatal organization affiliated with the government of Tanzania. It was created by an Act of the National Assembly of Tanzania in 1986 as a successor to the Tanzania National Scientific Research Council. The commission was a subsidiary institution to the Ministry of Communications, Science and Technology (MCST) and is now a subsidiary institution to the Ministry of Education, Science & Technology. The main offices are located in Dar es Salaam.
COSTECH is currently led by Dr. Amos Nungu, who formerly served as Assistant Director of Science, Technology and Innovation at the Ministry of Education, Science and Technology].

View More On Wikipedia.org
  1. Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi saba ya kitafiti

    Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi saba ya kitafiti kutoka katika taasisi mbalimbali hapa nchini. Akizungumza wakati wa kuhitimisha mafunzo na utoaji ufadhili huo kwa watafiti wanufaika wa miradi hiyo...
  2. Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) yatakiwa kuwa na mfumo madhubuti wa kuratibu utafiti utakaosomana na Taasisi nyingine

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo ameitaka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuwa na mfumo mathubuti wa kuratibu tafiti utakaosomana na Taasisi nyingine zinazofanya tafiti. Agizo hilo limetolewa Julai 31, 2023 mjini Morogoro katika Kikao kazi cha...
  3. Ubunifu Tanzania/MAKISATU: VETA, COSTECH, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Waziri Prof. Mkenda, na Watendaji Wao, Wanastahili Pongezi za Dhati!

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Veta, licha ya kuwapatia Watanzania elimu ya ujuzi kama nia na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuwezesha wananchi, hasa vijana kuajirika kwa urahisi, kuongeza tija ya uzalishaji viwandani na...
  4. B

    Benki ya CRDB yaingia mkataba wa makubaliano na ICTC na COSTECH kuwezesha biashara changa (startups) nchini kupitia programu ya Imbeju

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Amos Nungu (kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa programu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…