POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL
Hal Turner World November 06, 2024
Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel!
Thousands of Israeli troops, in uniform are marching toward Prime Minister Benjamin Netanyahu's location and...
A fighter of the Wagner private mercenary group is seen atop of an armoured vehicle in a street near the headquarters of the Southern Military District in the city of Rostov-on-Don, Russia
Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin, who remains active despite leading a failed mutiny against the...
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta sasa anadai kuwa matatizo yanayowasumbua Chama cha Jubilee yalipangwa na serikali ya Kenya Kwanza na kutekelezwa kwa msaada wake.
Uhuru alifichua kwamba, ingawa ilikuwa mpango wake wa awali kumkabidhi uongozi mpya wa chama baada ya kustaafu urais, jaribio lililodaiwa...
The 1971 Kenyan Coup Attempt | A Chronicle
In June 1971, 13 men were tried and jailed for conspiracy to overthrow the government of Jomo Kenyatta....prosecutor says 12 attempted to enlist aid of Tanzanian Pres Nyerere but were rebuffed..
They were a collection of civilians and soldiers...
Serikali ya Kijeshi nchini Sudan imewafuta kazi mabalozi wake sita katika nchi za Marekani, Uchina, Qatar, Ufaransa, pamoja na Umoja wa Ulaya baada ya kutokubaliana na jeshi kutwaa mamlaka. Mamlaka hiyo pia imemfuta kazi mkuu wa ujumbe wa nchi hiyo katika mji wa Geneva, Uswizi.
======
General...
AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe.
======
The African Union has said it suspended Sudan from all its activities after the Sudanese military overthrew the civilian-led transitional government in a coup.
In a...
KHARTOUM– Military forces arrested several members of Sudan’s civilian leadership early on Monday, Al Hadath TV reported, as a prominent pro-democracy group called on Sudanese to take to the streets to resist any military coup.
According to Al Hadath TV.
Sudan’s Prime Minister Abdallah Hamdok...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa viongozi wa mapinduzi nchini Guinea ''kuondoka'', akisema kuwa mapinduzi hayo ni ''hatua za kurudi nyuma''.
''Wanapaswa kuambiwa waondoke kwasababu wao si suluhisho la nchi,'' Bw. Museveni aliiambia France 24.
''Tulikuwa nayo mapinduzi miaka ya...
Kwa Trump kuwahimiza wafuasi wake wavamie Congress ili isimpitishe Biden kuwa Rais, je Trump anaweza kushitakiwa kwa uhaini?
Wanasheria tupeni maoni yenu kwa hili.
Habari!
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali na vikosi vya Jeshi nchini humo.
Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye!
====
SASISHO: Katibu Mkuu...
Habari za wakati wanajamvi,
Leo nimekuja kwenu na orodha ya nchi 10 Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya serikali ya aina yoyote. Nchi nyingi za kiafrika baada ya uhuru ziliangukia katika wimbi kubwa la mapinduzi ya serikali zilizoachwa na wakoloni, kwa kipindi hicho sababu kuu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.