Kulingana na taarifa ya Mamlaka ya bima nchini (TIRA) Watoa Huduma walielekezwa kuanzia Tarehe 01.04.2021 Kutumia Stika za kielektroniki badala ya stika za kawaida zilizokuwa zikitumika awali. Karibu ujipatie bima kwa ajili ya Chombo Chako Cha Moto Kupitia Mfumo wa kisasa wa Stika Za...