Tamko hilo la Shirika la Afya (WHO) limetolewa baada ya Nchi kadhaa kuanza kuweka vikwazo na masharti mapya kwa wasafiri wanaotoka China hivi karibuni.
WHO wamesema wanahitaji kujua takwimu za waliolazwa, walio katika hali mbaya, vifo na matumizi ya chanjo, hiyo ni baada ya China kuamua...