Crack ni madawa ya kulevya yanayotengenezwa kwa kiwango kidogo sana cha Cocaine na kuchanganywa na Baking powder au amatriptayne (ATM).
Amatriptayne (ATM) ni dawa ambazo ukimeza lazima ulale.
Hizi hapa sababu chache zilizopelekea niache.
Tatizo la kusahau.
Hili tatizo lilikuwa likinipata...