Dar es Salaam, 30 Agosti 2024 – Taasisi ya CRDB Bank Foundation imezindua rasmi kampeni maalum ya IMBEJU inayolenga kuwaunganisha vijana na wanawake wajasiriamali nchini na programu ya IMBEJU. Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika katika Makao Makuu ya Benki ya CRDB, na kuhudhuriwa na viongozi...