Nchi hii sijui inakoelekea kila sehemu huduma ni mbovu. Niko CRDB tawi la USA-RIVER, Arusha tangia saa 3 asb, wateja ni wengi yuko mhudumu moja tu wakati madirisha yako zaidi ya 5. Wahudumu wengine wapo wanazururazurura ndani sijui wanafanya nini.
Hizi kwanza ni dharau kwa wateja, kwanini...