Habari za Usubuhi!
Kwa wale tuliozoea tukiamka au tukiwa tunajiandaa kubeba kitu kizito au tunaojiandaa na mazoezi au tuliozoea kubinya tu joint/knuckles za mikono yetu na Tunafurahi au tunapenda ile sauti inayolia 'Ta' 'Ta' na wengi huamini Kwamba Sauti ile inatokana na msuguano wa mifupa...