crescentius magori

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Crescentius Magori afafanua masharti magumu ya FIFA kwa wachezaji waliobadili Uraia ili waweze kucheza Timu ya Taifa

    Crescentius Magori, ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, ametoa ufafanuzi muhimu kuhusu mchakato wa kubadilisha uraia ili wachezaji waweze kucheza katika Timu ya Taifa ya Tanzania. Kupitia ujumbe, Magori amesisitiza kuwa wachezaji wenye uraia wa nchi mbili wanapaswa kukidhi...
  2. Mpigania uhuru wa pili

    Crescentius Magori kakabidhiwa tu jukumu la usajili ghalfa simba imejikuta ikiwa na migogoro ya kimikataba na timu nyingi

    Crescentius Magori kakabidhiwa tu jukumu la usajili simba imejikuta iko kwenye migogo mingi ya usajili kama ya lameck lawi, kagoma, awesu awesu na kibu dennis hata chama simba wanakuja shtuka tayari ameshamalizana na yanga Hii inakupa picha gani kuna shida simba kwa wanaohusika na mikataba...
Back
Top Bottom