cross examination

  1. Swahili AI

    Cross Examination: DC Ubungo vs Wakili

    Cross Examination Day; Wakili: Mhe. Mkuu wa Wilaya ijuze mahakama kiwango chako cha elimu. Mkuu wa Wilaya: Shahada Wakili: Ieleze mahakama majukumu yako kwa kifupi Mkuu wa Wilaya: Mwakilishi wa Mhe. Rais Wilaya ya Ubungo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Wilaya Wakili: Je! Unawafahamu...
  2. Countrywide

    Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

    Kesi ya kina Mdee na CHADEMA leo imeingia ukurasa mpya baada ya mawakili wa CHADEMA kusema hawana tena maswali kwa akina Mdee. Hapo siku za nyuma mawakili hawa walishangiliwa sana jinsi walivyokuwa wakipambana na kina Mdee mahakamani na wengi wakashangilia pia jinsi walivyokuwa wanawahoji...
  3. Alfred Daud Pigangoma

    Shahidi kukimbia cross examination nini matokeo yake?

    Wakuu salaam! Wakati tukiendelea kumtafuta Paul Makonda a.k.a BASHITE ili akapate haki yake kamili pale Mahakamani iwe kusafishwa mbele ya umma au kupelekwa gerezani. Yanayoendelea kwenye kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. F. A. Mbowe na wenzake (makomandoo) watatu kwa mashahidi...
  4. A

    Kitu gani kinaweza kusababisha shahidi kukataa kuendelea na cross examination?

    Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji. Tukiacha hiyo pembeni na...
  5. Yoda

    Mawakili wa utetezi punguzeni muda wa cross examination, kesi ya Mbowe yaweza kuamuliwa kwa haki kabisa hapa ilipofikia

    Baada ya ushahidi wa Luteni Denis Urio kwa upande wa Jamhuri kesi ya Mbowe ambayo imefikisha mashahidi 12 sasa inaweza kuamuliwa na Jaji. Shahidi aliyekuwa muhimu kuliko wote na ambaye anaweza kuitwa nyota au kiungo muhimu wa mchezo ni Urio ambaye amekwisha toa ushahidi wake. Kwa muelekeo wa...
Back
Top Bottom