Nchini Marekani, kuna zaidi ya sehemu 100 ambazo zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki.
Sehemu hizo zimejengwa katika hali ya kuweza kuifanya miili hiyo isiharibike na kubaki katika hali ya kawaida.
Hii inatokana na imani ya kwamba katika miaka ijayo, Binadamu watakuwa na uwezo wa...